Apedia

Leave Wame~ Yao Kuwacha Kuacha Quit/Stop Sth Desist

Kiswahili kuwacha, kuacha
English (1) to quit/stop doing sth, to desist (~ ulevi ~ kazi ~ kukohoa),
(2) to leave behind (Wasafiri wame~ mizigo yao nyuma), 
(3) to abandon, to discontinue, to discard (Watu wame~ mashamba yao Kuku ame~ watoto wake),
(4) to acquit, to release, to pardon ( ~ mfungwa huru ~ mshtakiwa huru ),
(5) to allow, to permit, to give leave (~ apite ~ apumzike),
(6) to separate from, divorce (Amemw~ mkewe),
(7) to leave sth somewhere (~ kitabu mezani~ ujumbe ofisini kwangu),
(8) to break (~ tabia mbaya break bad habits),
(9) to yield (~ mkono die)

Tags: kitenzi

Learn with these flashcards. Click next, previous, or up to navigate to more flashcards for this subject.

Next card: Bewilder 当惑させる

Previous card: Kizingo ki-/vi curve bend winding mto au njia

Up to card list: English - Kiingereza